Rais Jakaya Mrisho Kikwete amwapisha Jaji Francis Mutungi, kama msaji wa vyama vya siasa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya
Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.Picha na Ikulu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea
kazi Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini
Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na
viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya
Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe
John Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Post a Comment