"FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL YARUHUSIWA BAADA YA KUZUIWA.
Bodi ya ukaguzi wa filamu Tanzania imeridhia na kuiruhusu filamu ya Foolish Age ya Lulu Michael iingie sokoni baada ya kuizuia hapo juzi....
Filam hiyo ilizuiliwa kutokana na mavazi ya nusu uchi yaliyokuwa yamevaliwa na washiriki wake na kumtaka Lulu Michael aifanyie marekebisho kwa kuviondoa vipande hivyo ambavyo vilikuwa kinyume na maadili ya kitanzani....
Filamu hiyo ambayo yupo Lulu, Diana Kimaro, Jengua na Hashim Kambi itazinduliwa tarehe 30 mwezi huu katika ukumbi wa Mlimani City
Post a Comment