AJALI YA BASI LA MERIDIANI KUGONGANA NA GARI NDOGO MAENEO YA MKATA LEO


Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo


Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama amepona
Ajali
hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo
binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake
kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini
Post a Comment