SOSOPI AHUTUBIA WAKAZI WA MANISPAA YA IRINGA
MAKAMU Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole Sosopi.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole
Sosopi,akihutubia umati wa wakazi wa manispaa ya iringa na katika
mkutano wa hadhara wa chama hicho jana katika viwanja vya kihesa sokoni.(Picha na Friday Simbaya)(P.T)
Wakazi wa kihesa akifuatilia mkutano juu ya lori.
Na Friday Simbaya
MAKAMU
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Taifa, Patrick Ole Sosopi,
amemtaka vijana, wanawake na wazee wajitokeze kwenye daftar la ukazi ili
kuwa wapigakura halali wakati uchaguzi za serikali za mitaa unaotarajia
kufanyika Desemba 14 mwaka huu pamoja hule uchaguzi mkuu wa 2015.
Alisema kuwa bila kufanya hivyo watakosa haki ya kuchagulia na kuchagua wakati chaguzi hizo.
Ole
Sosopi ambaye kabla ya kuchaguliwa ngazi ya Taifa, alikuwa ni
Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Ismani mkoani Iringa na anat kuwasili
jimboni kwake Jumatano.
Ole
Sosopi katika msafara huo aliaambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu na
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Mwenyekiti wa BAVICHA
Jimbo la Iringa mjini Leonce Marto.
Hata
hivyo Ole Sosopi aliwataka vijana kwa wazee wajitokeze kugombea nafasi
mbalimbali kupita chama hicho wakati uchaguzi wa serikali za mitaa
utakafika hapo baadaye.
Post a Comment