Mbunge
wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa akitumia usafiri wa
Baiskeli kuwafikia wapiga kura wake katika kijiji cha Kivalali kata ya
Ifunda baada ya gari lake kupata pacha wakati wa ziara hiyo hivyo
kulazimika kutafuta baiskeli ili kufika haraka mkutanoni kusikiliza kero
za wananchi wake.(picha na Francis Godwin Blog) (P.T)
Post a Comment