BREAKING NEEEWZZZZ!!!!! NDEGE YA ZAN AIR YAANGUKA PEMBA
Ndege
ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya
abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na
Katiba wa Zanzibar mhe. Abubakar Kahamis, abiria wote wametoka salama.
Post a Comment