Aweka rekodi ya kuwa na Matiti makubwa Duniani

Unaweza
ukawa binti umebarikiwa mzigo mkubwa kifuani kiasi cha kukosa raha na
kujihisi mpweke na kujionea Mungu kakuonea..unakosea sana! Kutana na
mwanamke wa Kijerumani mwenye miaka 30 anayeitwa Beshine anayeshikilia
record ya mwanamke mwenye matiti makubwa...anayevaa bra spesho na
anaepata tabu katika matiti kutokana na ukubwa wa 'nyonyo'.

''Ni ngumu na inahitaji ujasiri mkubwa kutokea mbele ya umati wa watu na matiti makubwa kiasi hiki'' Alisema Beshine.
Post a Comment