Basi la mfano la kuenda kasi latua Dar es Salaam tayari kwa majaribio yatakayofanyika leo jijini humo
BREAKING
NEWS!!!!!!! BASI LA MAJARIBIO LA DART LIMEWASIRI. LEO LITAFANYA SAFARI
YA MFANO SAA TISA JIONI KUANZIA OFISI ZA DART UBUNGO PLAZA KUELEKEA
KIMARA NA KWENDA KIVUKONI NA KUREJEA UBUNGO. LITATUMIA NJIA MAALUM
ZILIZOJENGWA (BRT DEDICATED LANES) ... TUNAJENGA KWA AJILI YAKO 2014
BARABARA YA MOROGORO ITAMEREMETA ..... hili hapa kama huamini. Pichani
ni mdau wa mambo ya usafiri, Deo Mutta Mwanatanga, akiwa amepozi katika
basi hilo na kilichoandikwa ni maneno yake mwenyewe katika akaunti yake
ya facebook leo.
Post a Comment