Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(mbele katika Jukwaa)
akipokea Saalam ya heshima na Utii kutoka kwa Gadi Maalum ya Gwaride
lililoandaliwa na Wahitimu 72 wa Mafunzo Maalum ya Udereva katika Chuo
cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira, kilichopo Mkoani
Morogoro. Hafla fupi ya ufungaji Mafunzo hayo imefanyika leo Novemba 1,
2013 katika viwanja vya Kingolwira, Morogoro. |
Post a Comment