ZAHIR ZORRO ALA SHAVU TUSKER PROJECT FAME, HAMMY B IS NO LONG A JUDGE.
Mwanamuziki
Mkongwe Hapa Tanzania Mzee Zahir Ali Zoro ambae pia ni Baba wa Banana
Zoro Amepata shavu la kuwa Mmoja wa Majaji wa Shindano Kubwa la Tusker
Project Fame .Kuchaguliwa kwake kumekuja kwa kuondolewa kwa Producer
Hammy B ambaye kwa miaka mingi alikuwa Judge katika Shindano hilo.
Hii ni Message iliyoandikwa na kituo kikubwa cha TV huko nchini Kenya kuhusu Ali Zoro,,
“Tanzanian music legend Zahir Ali Zoro joins the #TPF6 judging team. He’ll be one of the judges alongside @IanMbugua and @JKanyomozi,” kimeandika kituo cha runingo cha Citizen TV cha Kenya kinachorusha mashindano hayo.
Post a Comment