WAJUE WASHIRIKI WANNE WANAO IWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME.

WAJUE WASHIRIKI WANNE WANAO IWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME.

Hatimae Washiriki watakao iwakilisha Tanzania katika Mashindano ya mziki yanayo andaliwa na kinjwaji cha Tusker ,Tusker Project Fame wamejulikana.


 Washiriki hao ni  Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Washiriki hao watakaa katika Academy ya music huko Nairobi kwa kipindi fulani huku wakichuana kupata washindi.

Mashindano hayo ndio yamezaa wakali katika Bongo Flava kama Hemed na Peter Msechu.
Stay Tuned we will be Updating you on Their Progress.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger