skip to main |
skip to sidebar
SHILOLE AONGEA "KUWAPANDISHA JUKWAANI WANAUME NA KUNISHIKA KINAWAFURAHISHA WENGI"
Baada ya watu kuongea sana kuhusu
jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume
jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote ...Amejitokeza na
kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima
kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu
wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha
show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima
niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani
mashabiki wangu....
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment