MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini,Stephen Ngonyani "Maji Marefu"mwenye
shuti akipata maelekezo kutoka kwa Afisa Tarafa ya Magoma Haji Mbaruku
kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi cha Tarafa hiyo wakati alipokitembelea
jana,Picha na Oscar Assenga,Korogwe.
Post a Comment