DKT BILAL ATOA MSAADA WA PIKIPIKI
Msaidizi
wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi
Kayanda, akimkabidhi Pikipiki Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan
Rugimbana, aliyeikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe
pande kwa niaba ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi iliyofanyika
leo katika mji huo mpya. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa
Mabwe Pande, Abdallah Kunja.
Post a Comment