BREAKING NEWS: MAJAMBAZI WALIOVALIA SARE YA JESHI LA POLISI HABIB AFRICAN BANK JIJINI DAR ES SALAAM.
WATU wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Ban
k Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Endelea kufuatilia taarifa zetu za habari. chanzo ITV
Post a Comment