NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO,
SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA KUSHOTO AKISALIMIA NA BAADHI YA
WAKINA MAMA WA UWT MKOA WA TANGA LEO MARA BAADA YA Picha zote na Raisa Said, Tanga
|
HAPA
NI NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA
AKIVIKWA SKAFU MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE HAFLA HIYO LEO picha zote na Raisa Said, Tanga |
|
HAPA
NI GREEN GUARD WAKIKE WAKIMVALISHA NAIBU WAZIRI WA MASWASILIANO,
SAYANSI NA TEKNOLOJIA,JANUARI MAKAMBA SKAFU LEO KABLA YA KUANZA KIKAO
CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA AMBAPO WALIMPITISHA KUWA MLEZI WAO
KUSHOTO NI KATIBU WA CCM MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA |
KATIKATI
NI NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOGIA ,JANUARI MAKAMBA
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA UWT MKOA WA TANGA AISHA KIGODA KULIA NI KATIBU
WA CCM MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA WAKIFUATILIA MAMBO MBALIMBALI KWENYE
KIKAO HICHO LEO |
Post a Comment