MGAMBO WA MANISPAA YA ARUSHA
Hawa ni
mgambo wa manispaa ya arusha wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo
miwa yake na kuondoka nayo wakidai anafanya biashara eneo lisilo
rasmi.Kweli hapa tutaendelea na je
huyo kijana haki yake ataipata wapi ikiwa wamechukua miwa yake na
kuondoka nayo na hajui wataipeleka wapi au ndo kugawana. (PICHA NA PATROCK TENYWA)(FS)
Post a Comment