PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlima Sekenke muda huu na watu 4
amefariki dunia.Ajali hiyo ilitokea wakati gari la mafuta kufeli breki
na kuingia darajani na kulipuka moto.
Ni ajali mbaya sana ambayo ni vigumu kuielezea.
Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua
Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa
Hii ni njia ya mlima sekenke
Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hiloo
Post a Comment