NMB WAMKABIDHI NAIBU WAZIRI UMMY VITANDA SABA KWA AJILI YA VITUO VYA AFYA JIJINI TANGA LEO
NAIBU WAZIRI WA OFISI YA MAKAMU RAIS MAZINGIRA UMMY MWALIMU AKIZUNGUMZA WAKATI WA AKIPOKEA VITANDA SABA KUTOKA KWA BENKI YA NMB LEO AMBAPO VITANDA HIVYO VINA GHARAMA YA SH.MILIONI 5 |
WAKINA MAMA WAKIOJITOKEZA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VITANDA HIVYO LEO |
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO AKIZUNGUMZA KWENYE HAFLA HIYO YA MAKABIDHIANO LEO KWENYE KITUO CHA AFYA MAKORORA JIJINI TANGA. |
VITANDA VILIVYOKABIDHIWA LEO NA BENKI YA NMB KWA NAIBU WAZIRI W OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA UMMY MWALIMU KWA AJILI YA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA. |
NAIBU WAZIRI WA OFISI YA RAIS MAZINGIRA UMMY MWALIMU AKIFURAHIA JAMBO MARA BAADA YA MAKABIDHIANO HAYO LEO |
Post a Comment