Shughuli ya Mazishi ya Mzee Nelson Mandela hivi sasa kijijini Qunu

Shughuli ya Mazishi ya Mzee Nelson Mandela hivi sasa kijijini Qunu

hema_f301b.jpg
Kamera ya Globu ya Jamii ipo Ndani ya Hema maalumu ambamo shughuli ya mazishi ya marehemu Nelson Mandela inaendelea hivi sasa katika kijijini Qunu.na kama ilivyo ada ya libeneke la Globu hili kwamba litakuwa linatuletea Live matukio yote yanayoendelea katika Mazishi ya Shujaa huyo wa Afrika na Dunia kwa Ujumla.
tmp_Screenshot_2013-12-15-08-56-43-11227373973_d580c.png
Rais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger