skip to main |
skip to sidebar
LULU "TOKA NITOKE JELA SIIJUI NGONO" ABADILI NUMBER MARA 13 KWA USUMBUFU WA WAKWARE NA WASAGAJI
Elizabeth Michael "Lulu " Amedai
hajakutana na mtu yoyote kimapenzi toka atoke Jela ...Kwa mujibu wa
chanzo chetu Muigizaji huyo nyota amesema licha ya Vishawishi vingi vya
wanaume na wasagaji lakini hakuna alie bahatika kumnasa mpaka sasa
Inasemekana toka apatwe na Masahibu ya Kanumba Lulu ni Kama mtu Aliyeng'atwa na Nyoka kwa kuogopa hata kuguswa na Nyasi..
Lulu Ameshabadilisha number mara 13 na tatu kuepukana na Usumbufu .
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment