PICHA LIVEKIPINDI CHA KWANZA : MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA JKT OLJORO , MBEYA CITY WANAONGOZA KWA GOLI MOJA
MEZA KUU WAKIWA WANANGOJA KUTAZAMA MPIRA
TIMU ZOTE MBILI ZIKIWA ZINAINGIA UWANJANI
MGENI RASMI AKIWA ANAKAGUA TIMU ZOTE MBILI
MA NAHODHA WA TIMU ZOTE MBILI WAKIWA WANACHAGUA WAANZIE KUKAA GOLI LIPI
KIKOSI CHA JKT OLJORO FC WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
KIKOSI CHA MBEYA CITY FC WAKIWA WANAOMBA DUA
KIKOSI CHA MBEYA CITY FC WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
KOCHA WA TIMU YA MBEYA CITY FC WA KWANZA AKIWA ANATAZAMA MPIRA KWA MAKINI
TIMU YA MBEYA CITY FC WAKIWA WANAWASHUKURU MASHABIKI
MASHABIKI WA MBEYA CITY FC
MASHABIKI MBALIMBALI
MASHABIKI WA JKT OLJORO NAO HAWAPO NYUMA
MPIRA UKIWA UMEANZA
ENDELEA KUFUATILIA .
Post a Comment