KWELI KUTONGOZA KIBOKO ..HAKUNA CHA BOSS WALA BAUNSA WOTE MATONYA KWA PENZI

KWELI KUTONGOZA KIBOKO ..HAKUNA CHA BOSS WALA BAUNSA WOTE MATONYA KWA PENZI

Usicheze na mapenzi, katika kutongoza watu huonyesha unyenyekevu utafikiri kuomba kazi. Wengine hata hufikia ku kneel na hata kulia. Kuna wengine hufikia hata kunywa sumu kisa kukataliwa. Mtongozaji ni zaidi ya matonya. Cha ajabu sasa mtu huyohuyo ukimkuta ofisini kwake mfano kama ni baunsa anasukuma watu hovyo, kama ni bosi ni mkali balaa kwa surbordinates. Ule unyenyekevu, upole, hauonekani tena! 

Kwa maana nyingine kila mtu anaweza kuwa mnyenyekevu, kuwa na adabu, kuwa na heshima wakati wote kama vile anatongoza.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger