Hapa ndio stend ya mabasi ya Handeni Mjini
Hapa ndio kituo cha mabasi cha Handeni Mjini kama
kilivyopigwa picha hii juzi wilayani humo mkoani Tanga. Ni tofauti na kituo cha
mabasi cha Korogwe Mjini, Handeni hali inaonekana kuwa tulivu na hakuna
mkanyagano sana. Hii ni kwasababu Mabasi mengi yanayopitia hapo yakitoka Tanga,
Dodoma, Dar es Salaam hivyo kukusanya watu wengi mno. Picha na Kambi Mbwana.
Post a Comment