SPIKA MAKINDA APONGEZWA, PINDA AFUNGA MKUTANI WA KUHIFADHI WANYAMAPORI
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2014 katika tafrija ya
kumpongeza Spika kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Mabunge ya SADEC . Kulia ni
Mbunge wa Viti Maalum Anna Abdallah na wapil kulia ni Naibu Waziri wa
Katiba na Sheria, Angela Kairuki na kushoto ni Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dr. Pindi Chana. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Anne Makinda (kushoto)
wakimsikiliza Naibu Waziri wa katiba na Sheria, Angela Kairuki
(katikati) alipotoa maelezo kuhusu zawadi ya picha ambayo wabunge
walimzawadia Spika Makinda katika tafrija ya kumpongeza kwa kuteuliwa
kuwa spika wa Mabunge ya SADEC iliyofanyia kwenye viwanja vya Bunge
mjioni Dodoma Novemba 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri

Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Aggrey Mwanri baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ambako
alifunga Mkutano wa kupiga vita ujangili wa wanayamapori na kuendeleza
uhifadhi wa wanayamapori uliofanyika mjini Arusha Novemba 8,
2014.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu (wapili kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri (kulia) baada ya kufunga Mkutano wa kupiga
vita ujangili wa wanayamapori na kuendeleza uhifadhi wa wanayamapori
mjini Arusha Novemba 8, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Kahama, James
Lembeli.Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki,
Dkt Richard Sezibara(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment