AJALI MBAYA YATOKEA KABUKU TANGA
Lori la
Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo
la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo.
(Picha na Francis Dande)
Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
Baadhi ya
watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na basi
la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika eneo
la Kabuku, mkoani Tanga.
Post a Comment