A BETTER WORLD YASAIDIA UJENZI VYOO BORA MOMBO
TAASISI ya A BETTER WORLD ya Canada imesaidia ujenzi wa matundu ya vyoo 16 yaliyogharimu Mil. 16.5 kwa shule ya msingi Misajini iliyopo Mombo wilayani Korogwe.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwalimu
wa Shule hiyo Elizabeth Mathew kwa Muasisi wa Shirika hilo nchini Eric
Rajahamba kwenye uzinduzi wa mradi huo unaolenga kuboresha afya za wanafunzi.
Mwalimu Mathew amesema
amesema kufadhiliwa kwa mradi huo ni matokeo mazuri ya mahusiano Mtanzania
Azidi Kaoneka na taasisi hiyo ambae pia aliwai kuwaunganisha na wafadhili
waliofanikisha mradi wa maji na upanuz wa madarasa.
+ comments + 1 comments
Haipendezi kukopi story kutoka blog zingine na kuzitumia kama zako, kuwa mbunifu
Post a Comment